Hii ndio Coke Studio
COKE STUDIO™ ni jukwaa kubwa la muziki kimataifa ambalo huwaleta pamoja wasanii nyota wanaochipukia na wale wanaofanya vizuri kutoka kona zote za ulimwengu ili kutengeneza ‘Maajabu Halisi’’ kollabo zitakazo vuka mipaka, na kuunganisha asili za muziki wa aina tofauti na kuwafikia wasikilizaji duniani kote.
Video ya Wimbo Maajabu Halisi
Wasanii wote
COKE STUDIO™ inahusisha wasanii wakali 17 kutoka Marekani, Uingereza, Canada, Afrika Kusini, Colombia, Misri, India, Pakistani, Bangladesh, Uturuki, China, Korea na Ufilipino. Wacheki hapa chini!